Kaimu meneja wa bia ya kilimanjaro akikabidhi vifaa vya michezo kwa meneja
wa Yanga Hafidh kwa ajili ya michuano ya kombe la Kagame inayotarajia
kuanza hapo kesho
Kaimu meneja wa kilimanjaro Oscar akikabidhi vifaa vya michezo kwa makamu
mwenyekiti wa Simba kwa ajili ya kombe la Kagame.
No comments:
Post a Comment