Thursday, July 19, 2012

WASHA YA KUJADILI AFYA YA MAMA MJAMZITO YAFUNGWA JIJINI DAR ES SALAAM

Mkurugenzi wa chama cha wanasheria wanawake TAWLA,Mwanasheria Tike Mwampipile akiongea na wadau kutoka mashirika mbalimbali wakati alipokuwa anafunga semina ya siku mbili iliofanyika katika ukumbi wa Dar es salaam International Conference Centre jijini Dar es salam washa iliokuwa ikijadili kuhusu rasimu ya sheria ya uzazi salama na mikataba ya kimataifa na mafanikio mbalimbali kuhusu Afya ya uzazi ya na kiyuchumi na njia za kufanya uenezi juu ya rasimu ya sheria ya uzazi salama kwa mama mjamzito,iliowakutanisha wadau kutoka mashirika ya kiraia na taasisi za serikali ilioandaliwa na chama cha wanasheria wanawake Tanzania TAWLA. 
Mdau akichangia mada katika warsha hiyo jana
Mkurugenzi wa Chama cha wanasheria wanawake TAWLA ,Mwanasheria Tike Mwampipile akifurahia pamoja na wadadu walioudhuria katika washa hiyo mara baada ya kufunga washa hiyo,
Program Office Tawla Bi;Nasieku Kissambu akijibu maswali kutoka kwa wadau walipokuwa wakiuliza maswali katika wa washa hiyo jana.

No comments:

Post a Comment