HII NDIO KIGALI YA SASA, USIULIZE MIAKA IJAYO!
Rais Paul Kagame wa Rwanda
amekua miongoni mwa marais wachache wa Ulimwengu wanaopewa sifa nyingi
za kweli kuhusu msimamo wao, mipango yao na hata utekelezaji wa hiyo
mipango waliyonayo.
Kwa taarifa nilizonazo Rais
Kagame ameweza kuibadili Rwanda kwa kiwango kizuri sana ikiwa ni pamoja
na nchi kuwa safi, kukua kiuchumi, kujengeka kimpangilio pamoja na ishu
nyingine, sasa hivi sehemu kubwa ya mji wa Kigali umejengwa kwa mujibu
wa ramani inayotakiwa, nyumba za kuishi zilizo kwenye mpango kama miji
mingine ya nchi zilizoendelea, pamoja na barabara za ndani za Kigali
kuwekwa mawe kitaalamu kuondoa vumbi kwenye mji.
Huu ni mfano wa jinsi Kigali Rwanda ilivyopangwa kujengwa katika miaka michache ijayo according to topboxdesign.
Hii
ndio Account ya Rais Paul Kagame kwenye twitter, Paul Kagame (54) ni
rais wa sita wa nchi hiyo ambayo ameiongoza kwa zaidi ya miaka kumi na
wengi wanaamini kama angeendelea kukaa madarakani kwa muda mrefu zaidi,
angeweza kuibadilisha Rwanda kwa kiwango kikubwa sana.
No comments:
Post a Comment