WANAMICHEZO WA TANZANIA KATIKA UZINDUZI WA MICHEZO YA OLIMPKI USIKU WA KUAMKIA LEO JIJINI LONDON UINGEREZA
![]() |
| Wanamichezo wa Tanzania wakipita huku wakinyanyua juu vibendera vya Taifa wakati wa uzinduzi wa michezo ya Olimpiki jijini London usiku wa kuamkia leo. |
![]() |
| Baadhi ya wanamichezo wakipiga picha katika kijiji cha Olimpki nchini Uingereza. |



No comments:
Post a Comment