Shirikisho la Filamu Tanzania TAFF landaa semina ya mpango mkakati wa miaka mitano
Shirikisho la Filamu TanzaniaTAFF limeandaa Semina ya siku mbili kwa ajili ya kutayarisha mpango
Mkakati wa miaka mitano ijayo. Semina hiyo itafanyika katika ukumbi wa
Ofisi za TCRA Jengo la Mawasiliano Towers ubungo kuanzia saa 3 asubuhi tarehe 30 – 31, Julai 2012.
Semina hiyo inafuatia baada ya kufanyika ya awamu ya kwanza
ambayo ilifanyika 28 – 20 Mei 2012 katika Ukumbi wa Hotel ya White Mark
iliyopo eneo la Ubungo Plazza Mjini Dar es Salaam.
Aidha
Wajumbe wataohudhuria semina hiyo wanatoka taasisi za Benki za N.M.B,
CRDB , Backelys Bank, Bank of India, TRA , TCRA, TBS, NSSF , Wizara ya
Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Bodi ya Filamu Tanzania, BASATA, COSOTA, ITV Equity Bank, European Union, Foundation for Civil Society, Ubalozi wa Sweden, Uholanzi, US – AID, Global Publishers, UNESCO, UNICEF, TGNP, T.I.B Mpigile Company , Wizara ya Viwanda Biashara, Tigo, Vodacom, TBL, ADB, TWAWEZA, Ubalozi wa Canada, Ubalozi wa Ufaransa , Ubalozi wa Denmark ,Wasanii kutoka mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Morogoro, Mwanza,Pwani na Dodoma..
Malengo
ya Semina hiyo ni kujadili na kuweka utekelezaji wa vipaumbele muhimu
vya utekelezaji wa majukumu ya Shirikisho la Filamu.
No comments:
Post a Comment