UFUNGUZI WA FEDHA INVESTMENT COMPANY LTD
YESS!! NI KIJIWE KIPYAA ILA CHA KIBIZNESS ZAIDI NI
FEDHA INVESTMENT COMPANY LTD,
KAMPUNI INATOA HUDUMA ZOTE ZA MALIPO YA KILA SIKU UYAJUAYO, KUANZIA HUDUMA ZA SIMU ZA MITANDAO YOTE NCHINI IKIWEMO VODACOM,KULIPIA
BILI ZA LUKU,DAWASCO,DSTV,UHURU ONE NA PIA WANAUZA MODEM ZA INTERNET
AINA ZOTE,BILA KUSAHAU KWA WALE WAKUSOMA SASA HIVI HUNA HAJA YA KUPANGA
FOLENI POSTA HATA
FEDHA INVESTMENT LTD
UTALIPIA HUDUMA YA NECTA,RAHA ZAIDI WANA HUDUMA YA TIKETI ZA
AZAM MARINE AMBAPO WEWE UNATAKIWA KUBOOK TIKETI KISHA UENDE KWAO NUNUA
TIKETI NA HUDUMA NYENGINE NYIIIINGI AMBAZO UKIFIKA OFISINI UTAZIPATA
KIKUBWA ZAIDI WANAWAITA MAKAMPUNI MNAOWALIPIA BILI WAFANYAKAZI WAO,
FEDHA INVESTMENT LTD WANAKWAMBIA WAKO KWA AJILI YA KUFANYA KAZI HIYO NI
WEWE TU KUWASILIANA NAO
WASILIANA NAO::SIMU::+255 22 2114029
EMAIL:: info@fedhainvestment.com, sales@fedhainvestment.com
YES NDIO HAPA HAPA ,PAMBA ROAD SASA WAMEFUNGUA RASMI KWA WALE WAKUSOMA SASA HV UKITAKA FANYA MALIPO NECTA FIKA FEDHA INVESTMENT LTD
MADAM ANNA MKAPA ALIKUWEPO KUSHUHUDIA UZINDUZI HUU
AKIPATIWA MAELEZO JINSI YA KUPATA HUDUMA
MR MUSHI KUTOKA CRDB ALIKUWEPO KUIJUA FEDHA INVESTMENT LTD
WADAU KIBAO WALIKUWEPO KUSHIRIKI UZINDUZI HUU
UKIFIKA UTAPOKELEWA VEMA NA STAFF WA FEDHA INVESTMENT LTD
HATA MIMI NILIKUWEPO KUSHUHUDIA UZINDUZI HUU NTAACHAJE KUGUSWA SASA
No comments:
Post a Comment