YOU MUST READ THIS:::::::JIHADHARINI NA VOCHA ZILIZOTUMIKA...
Kuna njia mpya unatumika na vibaka na wezi wa magari kutoweka
kwenye mkono wa sheria kutokana na uhalifu wao. Wanakusanya vocha
zilizotuma pindi wanapotelekeza gari au kutupa miili ya watu waliokufa na
kuacha vocha hizo zilizotumika kwenye tukio. Police wakifika eneo la tukio
wanatumia namba za hizo vocha kusaka namba ya simu yamtumiaji wa hiyo
vocha. Tayari watu wawili wameshikiliwa keko wameathirika na huu
udanganyifu. Tafadhali hakikisha umeharibu vocha yako baada ya kutumia ili
nawe usipatwe na janga hili.*
No comments:
Post a Comment