Kongamano la Tatu la Ushirikiano wa Kimaendeleo na Upunguzaji Umaskini Kati ya China na Afrika
Waziri wa Nchi, Uhusiano na
Uratibu, Mhe. Stephen Wassira (Kulia) akimsikiliza kwa makini Mhe. Fan Xiaojian,
Waziri, Ofisi Kiongozi ya Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China, inayohusika na masuala
ya Maendeleo na Kupunguza Umaskini (Katikati). Kushoto ni Mkalimani wa Waziri
huyo.Kongamano hilo la Tatu la Ushirikiano
wa Kimaendeleo na Upunguzaji Umaskini Kati ya China na Afrika, linafanyika
katika Hoteli ya White Sands.
Naibu Katibu Mtendaji (Uzalishaji) wa Tume ya Mipango, Maduka
Kessy (Katikati) akizungumza na baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo.
Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango
(Kushoto) akizungumza na mmoja wa washiriki wa Kongamano hilo Li Xin kutoka
China.
Wadau wa habari nao hawakuwa nyuma katika kunasa matukio ya
Kongamano hilo.
Gavana wa benki kuu Profesa Beno Ndulu kushoto akiwa katika konamano hilo la kupunguza umasikini pamoja na wadau wengine.
Washiriki wa Kongamano wakiwa makini kufuatilia mawasilisho
na mada mbali mbali zilizokuwa zikitolewa.
No comments:
Post a Comment