Meneja wa huduma kwa wateja wa benki ya NMB tawi la Same , Anna Efrem
(kushoto) akikabidhi zawadi kwa mwanafunzi Omari Silayo baada ya kuibuka
mshindi wa kwanza kwa wanafunzi wa shule ya msingi Majengo iliyopo wilayani
Same,kujibu maswali vizuri juu ya ufahamu wa masuala ya kibenki kuhusu
mpango wa NMB Financial Fitness uliozinduliwa na benki hiyo kwa watoto
wilayani humo.
No comments:
Post a Comment