Picha za Ajali ya Jana iliyo tokea Sumbawanga kuelekea Mpanda ambapowatu Sita walifariki hapo hapo.
Mmoja
kati ya majeruhi wa ajali ya lori la mizigo iliyotokea jana katika
kijiji cha Ntendo, Christina Mbaule (33) akiwa na mtoto wake Subesto
Sinkala (1) wakiwa wamelazwa katika wodi namba sita kwenye hospitali ya
mkoa mjini Sumbawanga. Picha na Mussa Mwangoka.
No comments:
Post a Comment