WARSHA YA MAZINGIRA KWA SEKTA BINAFSI YAFANYIKA
Washiriki wa Warsha ya Sekta Binafsi juu ya Maandalizi ya mkakati wa Taifa
wa Kukabiliana na athari za Mabadiliko ya Tabianchi wakiwa Katika Picha ya
Pamoja na Mkurugenzi wa Mazingira Dk Julias Ningu Mara Baada ya Ufunguzi wa
Warsha hiyo kwenye Hotel ya Girafe Mjini Dar es Salaam.
Baadhi ya Washiriki wa Warsha ya sekta Binafsi juu ya Maandalizi ya
Mkakati wa Taifa wa kukabiliana na athari za Mabadiliko ya Tabianchi
Wakimsikiliza Mgeni Rasmi Dk Julias Ningu Pichani hayupo wakati wa Ufunguzi
wa Warsha huko Kwenye Hotel ya Girafe Mjini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment