Thursday, July 12, 2012

Wahariri wa vyombo vya habari katika mafunzo ya sensa mjini Dodoma

Naibu Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Amos Makala(wa pili kulia)  akiagana na Viongozi mbalimbali wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) mara baada ya kufungua semina ya siku tatu ya wahariri na waandishi wa habari waandamizi kutoka vyombo mbalimbali  jana  katika  Chuo cha Mipango _Dodoma. wengine ni Mkurugenzi Mkuu wa NBS Dr. Albina Chuwa (wa pili kushoto) , Afisa uhamasishaji wa Sensa wa NBS Said  Ameir (kushoto) na Mkuu wa chuo cha Mipango - Dodoma  Constantine Lifuliro(kulia)
Naibu Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Amos Makala akifungua semina ya siku tatu kwa wahariri na waandishi waandamizi kuhusu sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 inayotarajia kufanyika usiku wa kuamkia tarehe 26  mwezi Okotba nchini kote. Mafunzo hayo yalifunguliwa jana  katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere kwenye Chuo cha Mipango _Dodoma
 Naibu Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Amos Makala(mwenye tai kwa walio kaa)  akiwa katika picha ya pamoja na wahariri na waandishi waandamizi mara ya kumalizi kwa zoezi la ufunguzi wa  semina ya siku tatu kwa wahariri na waandishi waandamizi kuhusu sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 inayotarajia kufanyika usiku wa kuamkia tarehe 26  mwezi Okotba nchini kote. Mafunzo hayo yalifunguliwa jana  katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere kwenye Chuo cha Mipango _Dodoma
 
Afisa Uhamasishaji wa Sensa kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Said Ameir akitoa utambulisho wa wahariri na waandishi wa habari waandamizi jana  kabla ya ufunguzi wa semina ya siku tatu kwa wahariri na waandishi waandamizi kuhusu sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 inayotarajia kufanyika usiku wa kuamkia tarehe 26  mwezi Okotba nchini kote. Mafunzo hayo yalifunguliwa jana (leo) katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere kwenye Chuo cha Mipango _Dodoma
Naibu Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Amos Makala(wa pili kushoto) , Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dr. Albina Chuwa (wa pili kulia) , Mkuu wa Chuo cha Mipango Dodoma Constantine Lifurilo(kushoto) na Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi Moris Uyuke(kulia) wakifuatia zoezi la ufunguaji wa semina ya siku tatu kwa wahariri na waandishi waandamizi kuhusu sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 inayotarajia kufanyika usiku wa kuamkia tarehe 26  mwezi Okotba nchini kote. Mafunzo hayo yalifunguliwa jana  katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere kwenye Chuo cha Mipango _Dodoma
 
Naibu Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Amos Makala(wa tatu kushoto)  akibadilishana mawazo na baadhi ya wahahriri wa vyombo vya habari vya hapa nchini jana  katika Chuo cha Mipango Dodoma mara baada ya ufunguzi wa  semina ya siku tatu kwa wahariri na waandishi waandamizi kuhusu sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 inayotarajia kufanyika usiku wa kuamkia tarehe 26  mwezi Okotba nchini kote. Mafunzo hayo yalifunguliwa jana (leo) katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere kwenye Chuo cha Mipango _Dodoma
 
Wahariri na waandishi waandamizi wakifuatilia mafunzo wakati wa semina ya siku tatu kwa wahariri na waandishi waandamizi kuhusu sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 inayotarajia kufanyika usiku wa kuamkia tarehe 26  mwezi Okotba nchini kote. Mafunzo hayo yalifunguliwa jana  katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere kwenye Chuo cha Mipango _Dodoma na Naibu Waziri wa Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo Amos Makala(hayupo pichani)
 
No comments:

Post a Comment