UZINDUZI WA MUONEKANO MPYA WA BIA YA NDOVU SPECIAL MALT KATIKA PICHA
Mkurugenzi wa masoko wa Tbl Kushila Thomas akifurahia na wadau wengine
kwenye uzinduzi wa muonekano mpya wa bia hiyo katika Hotel ya Serena
jijini Dar Es Salaam ambapo bia hiyo iliweza kutambulisha mabadiliko
yaliyofanyika kwenye muonekano wake huku ladha yake ikibakia kuwa
ileile.Mabadiliko hayo yalifanyika baada ya Ndovu kushinda Medali ya
Pili ya juu kabisa ya Ubora duniani ya Grand Gold Quality Medal ya
Monder Selection
Meneja
wa Bia ya Ndovu special Malt Pamela Kikuli akizungumza na wadau
mbalimbali waliofika kushuhudia uzinduzi wa muonekano mpya wa bia hiyo
katika Hotel ya Serena jijini Dar Es Salaam-Kushoto na kulia ni miongoni
mwa wadau wa bia hiyo nchini
No comments:
Post a Comment