Usajili wa magari kwa kutumia majina waanza TRA…
Kuanzia mwaka mpya wa fedha (2012-2013) Mamlaka ya Mapato
Tanzania imeanza kusajili magari kwa kutumia majina ikiwa ni nyongeza ya
kutumia namba kama ilivyokuwa imezoeleka na wengi. Pichani juu na chini
ni gari la kwanza kupewa usajili huo wa kutumia jina.




No comments:
Post a Comment