Kwa Habari Moto Moto, Michezo na Burudani.
anaclet-ngoyi.blogspot.com
Sunday, July 15, 2012
Ujenzi Na Upanuzi Wa Barabara Ya Mwanza- Musoma Washika Kasi
Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwanza hadi Musoma umeshika kasi na sasa barabara hii inaelekea kuingia mjini Musoma, mpaka asubuhi ya leo shughuli hii ilikuwa imefikia eneo la baruti nje kidogo ya mji wa Musoma hili ndiyo eneo la Baruti.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment