REDD'S MISS WORLD TANZANIA 2012 AKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA
Redds Miss World Tanzania 2012 Lissa Jenson akikabidhiwa bendera ya Taifa
ili kwenda kuipeperusha kwenye fainali ya dunia itakayofanyika nchini China
Redds Miss World Tanzania 2012 Lissa Jenson akiwa katikati akiwa na bendera
ya Taifa tayari kuelekea nchini China kwenye fainali ya Miss World kulia ni
Mkurugenzi wa Lino Agency Hashimu Lundenga.Fainali ya Dunia Itafanyika July
28,2012 nchini China.
No comments:
Post a Comment