RAIS WA ZANZIBAR DKT. ALI SHEIN AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM ZANZIBAR
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, pia Mjumbe wa Kamati
Kuu ya CCM Taifa Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa
CCM, alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini
Zanzibar leo kwa ajili ya kushiriki katika kikao cha siku moja cha
Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar.Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu
Makamo
Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid
Karume,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dkt. Ali Mohamed Shein,(wa
pili kushoto) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia Mjumbe wa Kamati
Kuu ya CCM Taifa, Balozi Seif Ali Iddi,(kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa
CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai, kwa pamoja wakiwa wamesimama kabla ya
kuanza kikao cha siku moja cha Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM
Taifa ya Zanzibar,kilichofanyika leo katika ukumbi wa CCM Kisiwandui
Mjini Zanzibar.



No comments:
Post a Comment