Monday, July 16, 2012

kwa mdau aliepoteza cheti hiki

Habari za Leo, 
Naomba msaada wako wa kumpata mwenye Cheti hiki,maana alikisahau katika Stationary yangu pindi alipokuja kutoa Photocopy,ni muda mrefu sasa hajatokea na nahisi hakumbuki alikisahau wapi.

Naomba unisaidie kupatikana kwake ili aje akichukue cheti chake.
awasiliane nami kwa namba hii 0654 969 715.

No comments:

Post a Comment