Friday, July 13, 2012

MEYA WA ILALA KUKUZA KIINGEREZA KATIKA SHULE ZA SERIKARI

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya manispaa ya Ilala Mh. Jerry William Silaa akiwa na Bwana James W. Parkinson kutoka Marekani kwenye mazungumzo ya awali ya mpango wa Meya Silaa wa kuongeza uwezo wa wanafunzi wa shule za serikali kuzungumza kiingereza. Mstahiki Meya wa Halmashauri ya manispaa ya Ilala Mh. Jerry William Silaa na Bwana James W. Parkinson kutoka Marekani wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment