KIPINDI CHA CHEREKO CHEREKO KUONEKANA TENA KATIKA LUNINGA YA TBC
Hapa ndipo kipindi cha Chereko Chereko kinapotayarishwa katika Studio ya kisasa ya 2BONDO's PRODUCTIONS.
Mtangazaji
wa kipindi cha Chereko Chereko, Angella Gloria Bondo akiwa amepozi kwa
picha na mgeni wake, Shabani Mbegu ambaye alifika katika Studio hizo kwa
ajili ya kuandaa kipindi cha Chereko Chereko kitakachorushwa hewani
siku ya jumapili tarahe 22-7-2012 kuanzia saa moja kamili jioni mpaka 7:
45 katika kituo cha Televisheni cha TBC. Kipindi hiki kitaanza
kuonekana tena baada ya kusimama kwa kipindi cha mwaka mmoja na sasa
kimerudi tena katika muonekano mpya baada ya kuboreshwa.
Mtangazaji wa kipindi cha Chereko Chereko, Angella Gloria Bondo akiwa amepozi katika Studio za 2BONDO'S PRODUCTIONS.
Mtangazaji
wa kipindi cha Chereko Chereko, Angella Gloria Bondo akiwa katika
mahojiano na mgeni wake Bwana Harusi, Shabani Mbegu katika Studio za
2BONDO's PRODUCTIONS.
No comments:
Post a Comment