GLOBAL PUBLISHERS YADHAMINI LIGI YA POLISI JAMI
Afisa Utawala wa Global Publishers, Sudi Kivea (wa kwanza kushoto), akiwa
na Meneja Masoko wa kampuni hiyo, Benjamin Mwanambuu (katikati),
wakimkabidhi kombe hilo ofisa mwandamizi wa polisi wa Kinondoni, Wilbrod
Mutafungwa, kituo cha Oyster Bay jijini Dar leo.
KAMPUNI ya Global Publishers Ltd inayochapicha magazeti ya Ijumaa Wikienda,
Uwazi, Risasi, Amani, Ijumaa na Championi leo imekabidhi kombe la ligi ya
polisi jamii ikiwa mdhamini wa ligi hiyo iliyoanza kutimua vumbi tangu
Julai 9 mwaka huu.
No comments:
Post a Comment