Foleni ya kuelekea Mizani ya Kibaha mkoani Pwani
Hivi ndivyo hali inavyokuwa hasa wakati wa Jioni wakati magari makubwa
yakiwa katika foleni ya kuelekea kupima uzito kwenye Mizani ya Kibaha
mkoani Pwani,ambapo kutokana na kwamba kuna magari mengine hayatakiwi
kupita kwenye mizani hiyo hivyo yanalazimika kuyapita magari hayo yaliyo
kwenye foleni ili kuendelea na safari zao.sasa wakati mwingine mambo huwa
namna hii.
No comments:
Post a Comment