Dk Slaa akiwa na Godbless Lema wakiingia Makao Makuu ya Jeshi la Polisi
kwa ajili ya Mahojiano leo.
Wakiingia katika chumba cha mahojiano.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa nje ya jengo la Makao Makuu ya Jeshi
la Polisi wakimsubiri Dk. Slaa kutoka kuhojiwa.
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willbrod Slaa akizungumza na Waandishi wa
Habari baada ya kutoka kuhojiwa na Jeshi la Polisi.
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willbrod Slaa akitoka katika mahojiano
yaliyofanyika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi.
No comments:
Post a Comment