YANAYOJIRI KUNAKO
Stori: Erick Evarist na Gladness Mallya
Ijumaa
Wikienda limeng’atwa sikio kuwa endapo Mahakama Kuu Kanda ya Dar es
Salaam Julai 23, mwaka huu itamaliza utata wa umri wa Elizabeth Michael
‘Lulu’ na kuthibitisha umri aliokuwa nao wakati anapata mkasa wa kifo
cha Steven Kanumba, kuna uwezekano wazazi wake, mzee Michael Kimemeta na
Lucresia Karugila wakaingia matatani.
Kwa
mujibu wa mtaalam wa sheria (jina linahifadhiwa), bila kuingilia uhuru
wa mahakama alisema kuwa kuna vipengele vya sheria vinaweza kuwabana kwa
kigezo cha malezi ya mtoto.
“Kwa
mfano The Law Of The Child Act ya 2009, inaainisha kuwa mzazi anatakiwa
kusimamia malezi ya mtoto kwa kumpatia mahitaji muhimu kama chakula,
malazi, matibabu na mengineyo na ikithibitika yanakiukwa, hatua ya
kwanza kisheria yawezekana mzazi akapokonywa mtoto na kulelewa chini ya
mahakama,” alisema na kuongeza:
SIKU
chache baada ya baba mzazi wa kachala wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma
‘Diamond Platnum’, mzee Abdul Juma kufunguka kuwa mwanaye huyo
hamthamini toka amepata mafanikio, watu waliodai wao ni ndugu wa tumbo
moja na mkali huyo wa muziki wa kizazi kipya wameibuka na kusema baba
mzazi wa Diamond alishafariki dunia…







No comments:
Post a Comment