WADAU VIPI ENZI HIZI ZIKIJIRUDIA BONGO?
Hawa ni baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
mwaka 1984, wakipanda usafiri wa basi kwa pamoja kuelekea Mjengoni Bungeni
mjini Dodoma, kuanza kikao cha Bunge.
Na je vipi usafiri wa aina hii ndo ungekuwa daladala za jijini Bongo?
No comments:
Post a Comment