Tumpige tafu Lisa Jensen ili aweze kufanya vyema Miss World
Ndugu zetu Watanzania popote walipo, tunaomba tumsaidie Miss Tanzania
anayeiwakilisha nchi yetu nzuri kwenye mashindano ya Miss World ya mwaka
huu yatakayofanyika nchini Mongolia.*
*Unacho hitaji kufanya ni kubonyesha LIKE kwenye tovuti hii
www.missworldtanzania.com/contestants/tanzania/facebook*
*Unaweza pia kumfuatilia Miss Tanzania kwenye twitter @MWTanzania *
*Tunashukuru kwa ushirikiano wenu *
*Ahsanteni sana*

No comments:
Post a Comment