Meneja
wa Tanesco kanda ya Temeke,Richard Mallamia akiwaonyesha waandsishi
wa habari mita iliyochezewa na kuunganishwa umeme kinyume na mfumo wa
kawaida ilikuiba umeme kwenye duka moja eneo la Kigamboni ambapo zoezi
la kukamata wezi wa umeme linaendelea.
Mafundi wa Tanesco wakipitia pita iliyokuwa ikitumika kwa kuiba Umeme.
Wataalamu
wa mifumo ya umeme na mafundi wa Tanesco kanda ya Temeke wakiangalia
namna mita ilivyochezewa na kuiba umeme kwenye nyumba ya mfanyabishara
Jamal Hassan eneo la Kigamboni na kuiba umeme.
No comments:
Post a Comment