Redd's
Miss Sinza 2012, Brigita Alfred (katikati) akipunga mkono kwa furaha
wakati akiwa na washindi wenzake, mshindi wa pili Judith Sangu (kushoto)
na watatu Esther Mussa, baada ya kutangazwa washindi katika shindano
hilo lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mawela Social,
Sinza Jijini Dar es Salaam.
Meneja
wa Kampuni ya SPM-Sufiani Photo Magic na Mtandao wa
Sufianimafoto.blogspot,com, Nasma Sufiani, akimvisha taji na kumkabidhi
zawadi Maria John, baada ya kuibuka kidedea katika shindano la kumsaka
Sufianimafoto Miss Talent, lililofanyika ndano ya shindano hilo la Miss
Sinza katika Ukumbi wa Mawela Social, Sinza jijini Dar es Salaam.
Warembo
waliofanikiwa kuingia hatua ya Tano Bora, wakipozi kwa picha, kutoka
(kulia) ni Brigita Alfred, Judith Sangu, Nahma Said, Ester Mussa na
Mariam Miraji, baada ya kutangazwa kutinga hatua hiyo.
Sufianimafoto Miss Talent, Maria John, akiwa na furaha baada ya kuvishwa taji hilo na kukabidhiwa zawadi yake.
Madj
wa Sufianimafo, wakiwa katika mitambo ya Sufianimafoto, iliyokuwa
ikitumika katika shindano hilo, wakiendesha shughuli nzima ukumbini
hapo.
Waimbaji wa Twanga Pepeta, wakishambulia jukwaa.
Wanenguani na waimbaji wa Twanga, wakishambulia jukwaa.
Mwalimu wa waremabo hao, Mwajabu Juma, akipita jukwaani kusalimia wadau wa urembo.
Warembo wakicheza shoo ya pamoja ya ufunguzi.
Miss Sinza 2011, (kushoto) akipozi na wenzake ukumbini hapo.
Mkurugenzi
wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (wa pili kulia) akiwa na
baadhi ya wanakamati wakishuhudia shindano hilo.
Msanii
wa Vichekesho, ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa Uongo Kweli,
akishambulia jukwaa, wakati wa onyesho hilo na kuwapagawisha vilivyo,
mashabiki wa fani ya urembo waliokuwapo ukumbini hapo.
Sehemu ya watu waliojitokeza kushuhudia shindano hilo.
Sehemu ya watu waliojitokeza kushuhudia shindano hilo.













