Rais Kikwete akutana na Rais Omar El Bashir wa Sudan jijini Addis Ababa
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa
Sudan Omar Hassan el Bashir wakati wa
Mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika unaoendelea jijini Addis Ababa Ethiopia.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijadiliana jambo na
Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe(kulia)
pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Joram Biswaro(Katikati) wakati wa
kikao maalimu cha nchi za Maziwa Makuu kilichofanyika sambamba na Mkutano wa 19
wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika AU jijini Addis Ababa Ethiopia(picha na
Freddy Maro)
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja
na viongozi wengine wanchi za Afrika
wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 19 wa wakuu wan chi za umoja wa Afrika(AU)
jijini Addis Ababa Ethiopia leo asubuhi(picha na Freddy Maro)

No comments:
Post a Comment