Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mwekezaji kutoka Nigeria, Bw.Aliko
Dangote (kulia) ambaye anakusudia kujenga kiwanda cha saruji mkoani
Mtwara, baada ya mazungumzo yao jijini Dar es salaam Julai 15,2012.Kushoto
ni Balozi wa Nigeria nchini, Dr. Ishaya Manjabu. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
No comments:
Post a Comment