MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA (TEA) ILIVYOSHIRIKI TAMASHA LA MATUMAINI
Meneja Habari
Elimu na Mawasiliano, Sylvia Lupembe akiwa katika picha ya pamoja na
wabunge mashabiki wa Simba wakati wa mchezo wa tamasha la Matumaini
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Rosemary Lulabuka (kulia)
akicheza sambamba na wachezaji wa timu ya Wabunge mashabiki wa Simba
baada ya kuwafunga Wabunge mashabiki wa Yanga 3-1 katika tamasha
la Matumaini la kuchangia ujenzi wa hosteli za wanafunzi wa kike
nchini.
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa tamasha la matumaini.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Rosemary Lulabuka wa pili
kulia akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugezi wa Uhamasishaji na
Rasilimali Watu, Seif Mohamed (kushoto), Meneja Habari
Elimu na Mawasiliano, Sylvia Lupembe wa pili kushoto na Mkurugenzi wa
Gobal Publisher, Eric Shingongo wakati wa tamasha la Matumaini
lililowakutanisha Wabunge mashabiki wa Simba na Wabunge mashabiki wa
Yanga kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa Hosteli kwa wanafunzi wa kike.
No comments:
Post a Comment