Monday, June 25, 2012

SOS.... LETS COLOUR PROJECT!!

KIWANDA CHA SADOLIN PAINT ILIANDAA EVENT YA KUPAKA RANGI KITUO CHA KULELEA WATOTO  CHA SOS AMBAPO MAMA SALMA KIKWETE ALIKUWA NI MGENI RASMI, ZAIDI YA KUOMBA NA MAMA MARY NAGU KUWA MLEZI WA KIKUNDI HICHO, PIA MAMA ALIPAKA RANGI VYUMBA VYA WATOTO HAO SABAMBA NA MASTAR WENGINE WAKIBONGO WALIOKUWA WAMEALIKWA. 

NA KAMPUNI HII IMEAHIDI KUTOSHIA SOS TU ITAZUNGUKA TANZANIA NZIMA


 Hii cake ilikuwa maalum kwa kijana Innocent Pichani akikata na Mama Salma Kikwete ambayo amepewa kama zawadi ya kuwa na kipaji toka kampuni ya Dangote cement



Back 2 Afrika   B2A ILIWAKILISHWA VYEMA, Mcheki na mlinzi wa mama hapo kati


NILIGUSWA NA HIKI KITENGE NIMEKUWA NAVIONA HIVI VITENGE NA VIKIPATIWA VINAPENDEZA SAANA KAMA FIRST LADY ALIVYOKIPANGILIA HAPA HAKIKA KIMEENDEZEA ANAEJUA JINA AU STYLE YA HIKI KITENGE ANIAMBIA


                                                  MC WA SHUGHULI...MC LV




MASUPERSTAR KUTOKA TASNIA TOFAUTI WALIKUWEPO HAPA KUPAKA RANGI NA WATOTO

 MAMA AILINDA SAWE ALIKUWEPO SAMBAMBA NA ALLY REMTULLA

                                    MODEL NA DESIGNER WABONGO


No comments:

Post a Comment