Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa kwa shangwe alipowasili katika
ukumbi wa mikutano kwenye sherehe za "Holy Ghost Congregation 20th
General Chapter katika hosteli ya Misheni ya Kikatoliki ya Stella Maris
leo Juni 29. 2012 huko Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza kama Mgeni Rasmi kwenye sherehe
za "Holy Ghost Congregation 20th General Chapter katika hosteli ya
Misheni ya Kikatoliki ya Stella Maris leo Juni 29. 2012 huko Bagamoyo,
Mkoa
wa Pwani.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wenyeji wake kwenye b kwenye sherehe
za "Holy Ghost Congregation 20th General Chapter katika hosteli ya
Misheni ya Kikatoliki ya Stella Maris aliyoizindua leo Juni 29. 2012
huko Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na baadhi ya wanafunzi wa kidato cha
sita wa Marian Girls Secondary school kwenye kwenye sherehe za "Holy
Ghost Congregation 20th General Chapter katika hosteli ya Misheni ya
Kikatoliki ya Stella Maris aliyoizindua leo Juni 29. 2012 huko Bagamoyo,
Mkoa wa Pwani
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za
mwisho kwa mama wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe. Stephen Wassira
(kushoto) , Marehemu Esther Mgaya Mankaba, leo nyumbani kwa Mhe Wassira
jijini Dar es salaam leo Juni 29, 2012. Baada ya heshima za mwisho mwili
wa marehemu utasafirishwa kuelekea wilayani Bunda kwa mazishi.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete, Waziri Mkuu Mstaafu na
Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Sinde Waqrioba, Waziri wa Kazi
na Ajira Mhe Gaudencia Kabaka, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, na
wanafamilia wa wafiwa wakitoa heshima za mwisho kwa mama wa Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Mhe. Stephen Wassira (kushoto) , Marehemu Esther
Mgaya Mankaba, leo nyumbani kwa Mhe Wassira jijini Dar es salaam leo
Juni 29, 2012. Baada ya heshima za mwisho mwili wa marehemu
utasafirishwa kuelekea wilayani Bunda kw mazishi.
No comments:
Post a Comment