|
Mkurugenzi mtendaji wa (HAKIARDHI)BW.Yefred Miyenzi,akiongea na
waandishi wa habari jana katika makao makuu ya Hakiaridhi yalioko Sinza
jijini Dar es Salaam juu ya matokeo ya utafiti ya athari za uanzishwaji
mji wa Kigamboni jijini Dar es salaam,bwana
Yefred Miyenzi alisema kumekuwa na tarifa za ukwikaji wa taratibu za
sheri za mipango miji na sheria za ardhi katika utoaji wa maeneo
husika, Zoezi la uthamini wa mali na na rasirimali na hata kukosekana kwa
uwazi katika utekelezaji wa mradi huo kwa wananchi .matokeo yake
kumekuwa na mvutano wa mara kwa mara kati ya wananchi wa Kigamboni na
serikali. | | |
|
Baadhi ya waandishi walioudhuria katika mkutano huo wakifuatilia kwa makini mazungumzo ya Bw. Yefred Miyenzi.
No comments:
Post a Comment