KARIBU KWENYE MAONESHO YA 36 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA DARE SALAAM KWA UDHAMINI WA VODACOM TANZANIA
Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania mwaka huu ni wadhamini Wakuu ambao wataratibu habari na Mawasiliano katika Maonesho ya 36 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, hivyo wananchi wote wanatangaziwa kufika katika Viwanja vya maonesho hayo,kujione na kupata huduma bora katika viwanja hivyo.
Wafanyakazi
wa Vodacom Tanzania wakiandaa mabanda katika viwanja vya maonesho ya 36
ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam,ambapo wateja watajipatia
huduma mbalimbali pamoja na simu ya mkononi aina ya ZTE s502 yenye
Radio na Michezo inayouzwa kwa Tsh 13,000 ikiwa pamoja na muda wa maongezi ya Tsh 6,000.
No comments:
Post a Comment