Sunday, June 24, 2012




'ORSOS Islands' kisiwa kilichotengenezwa kuwa kama boti ya kitalii

                           Picha ya kisiwa hicho kinavyoonekana kwa juu

Kisiwa hicho chenye ukubwa wa mpaka square meter 1000, chenye vyumba vikubwa sita, sehemu ya kuchomea nyama (BBQ), sehemu ya kuotea jua na sehemu ya Bar ambayo ina uwezo wa kuchukua mpaka watu 15

                               Sehemu ya mbele ya kuingilia ndani

                   Ndani sehemu ya kujipatia chakula na vinywaji

                                                  Sehemu ya kujipumzishia

No comments:

Post a Comment