NHIF yatua Hoyoyo, kaya 143 zajiunga na CHF
wanachama wa Salma Kikwete Saccos wakifuatilia kwa makini maelezo ya namna ya kujiunga na faida za mfuko wa Afya ya jamii. |
Diwani naye hakuwa nyuma katika uhamasishji wa kujiunga na mfuko huo. |
Mwenyekiti wa Kamati ya uhamasishaji na mafunzo wa Salma Kikwete Saccos Bi.Janejelly James akitoa msisitizo kwa wanachama hao kujiunga na CHF. |
Mkurugenzi wa Uendeshaji Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Eugen MIkongoti akitoa salaam za Mfuko kwa wanachama hao. |
Diwani wa kata ya mkuranga Mh.Salumu Kuga Salumu (katikati) akiwa na maofisa wingine kutoka WAMA wakifuatilia mafunzo hayo. |
Wanachama wakijiandikisha baada ya Kuridhishwa na huduma za matibabu zinazotolewa na CHF. |
Ofisa wa NHIF anayeshughulikia CHF Bw, Rehani Athmani stoa mada ya umuhimu wa kujiunga na mfuko huo na faida zake. |
No comments:
Post a Comment