Wednesday, June 19, 2013

SHOTI YA UMEME YAZUA BALAA MAENEO YA KARIAKOO MCHANA HUU, NI MOTOOOOOO


Moto huo uliozuka kutokana na shoti ya umememe ulisambaa ndani ya nyumba hii ambapo gari la zimamoto liliwahi katika eneo la tukio na kuanza kazi ya kuzima moto huo. Hadi sasa haijaweza kufahamika hasara iliyotokana na moto huo, uliowaka maeneo ya Kariakoo.
Shoti ya umeme ilianzia hapa katika nguzo hizi ambapo cheche za moto ziliweza kusambaa. 
Sehemu ya raia wakishangaa ajali hiyo ya moto maeneo ya Kariakoo.

No comments:

Post a Comment