Monday, June 24, 2013

Picha za Johnnie Walker Mentorship Dar es Salaam

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve Gannon(kulia) na mdau Mr. Paul(kushoto) wakiwa washika chupa ya Johnnie Walker blue label
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve Gannon (wa pili kukulia) katika picha ya pamoja na Afisa mawasiliano wa SBL Bi. Hawa (wa pili kulia) wakiwa na wadau Paul(kulia) na Mac(kushoto) waliohudhuria katika hafla ya ‘Johnnie Walker Mentorship’ iliyoandaliwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti waliohudhuria hafla hiyo
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti waliohudhuria.
Mabalozi wa kinywaji cha Johnnie Walker kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti  wakionesha wageni waalikwa moja ya aina ya Johnnie Walker.
Mabalozi wa kinywaji cha Johnnie Walker kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti wakionesha wageni moja ya aina ya Johnnie Walker.
Baadhi ya wageni waliohidhuria hafla ya Johnnie Walker Mentorship wakifuatilia kwa makini namna ya utumiaji wa Whisky aina ya Johnnie Walker kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve Gannon(hayupo pichani)
Baadhi ya wageni waliohudhuria hafla ya Johnnie Walker Mentorship wakifatilia kwa makini namna ya utumiaji wa Whisky aina ya Johnnie Walker kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve Gannon.
Baadhi ya wageni waliohidhuria hafla ya Johnnie Walker Mentorship wakifuatilia kwa makini namna ya utumiaji wa Whisky aina ya Johnnie Walker kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve Gannon(hayupo pichani)
Sehemu ya waliohudhuria.
Mtaalamu wa cocktail Mr. Mikey, akimimina mchanganyiko wake murua kabisa uliotokana na vinywaji vya Johnnie Walker Mentorship maalum kwa hafla hiyo iliyofanyika Escape Club jijini Dar es Salaam.
Mtaalamu wa cocktail Mr. Mikey akimimina mchanganyiko uliotokana na vinywaji vya Johnnie Walker Mentorship maalum kwa hafla hiyo iliyofanyika Escape One jijini Dar es Salaam.
g8 g9
Mmoja wa mabalozi wakuu wa kinywaji cha Johnnie Walker Danis Ssebo akiwamiminia wageni waalikwa kinywaji cha John Walker Black label waweze kukionja na kujua ladha yake katika hafla ya ‘Johnnie Walker Mentorship’ iliyoandaliwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti jijini Dar es Salaam

g11
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve Gannon (wa pili kushoto) katika picha ya pamoja na Afisa mawasiliano wa SBL Bi. Hawa (wa pili kulia) wakiwa na wadau  Paul(kulia) na Mac(kushoto) waliohudhuria katika hafla ya ‘Johnnie Walker Mentorship’ iliyoandaliwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment