Wednesday, June 19, 2013

Mambo Matano Usiyoyajua na Utayapata Hapa Hapa.

.
.
1. Kuna story ambayo haijawahi kuzungumzwa lakini ilitokea wakati meli ya titanic ilipokuwa inazama, kuna padri mmoja alikuwemo kwenye hiyo meli ambae alikataa mara mbili kuokolewa kwa boti maalum za kuokoa maisha ambapo sababu yake ya kukataa ilikuwa kubakia kwenye meli ili awasikie watu wakitubu dhambi zao kwani walikuwa wanafahamu wanaelekea kufa wakati meli inazidi kuzama.

2. Utafiti unaonyesha kuwa kuna ongezeko la asilimia 70 la furaha siku ya ijumaa huku jumatatu pia ikizoeleka kuwa siku ambayo haipendwi na wengi.

3. Neno “never” limetamkwa mara 73 kwenye wimbo wa “never say never” ulioimbwa na Justin Bieber.
.
.
4. .Wadudu aina ya buibui hulewa wanapokunywa kahawa, yani tone moja la kahawa linatosha kuwalevya.

5. Kila mtu duniani ana harufu yake ambayo ni tofauti na harufu nyingine na watu pekee ambao harufu za miili yao hufanana ni mapacha wanaofana kila kitu.

No comments:

Post a Comment