Tuesday, June 26, 2012

"USIKU WA HEKAYA ZA WAJASIRIAMALI"

EAST AFRICA SPEAKERS BUREAU inakukaribisha katika usiku Maalum wa "Hekaya za Wajasiriamali" siku ya Ijumaa tarehe 6 Julia 2012 pale JB Belmont Hotel, Kuanzia saa 1.00 usiku ambapo Joseph Mfugale, Mjasiriamali aliyeanza kama fundi seremala mpaka kufikia kumiliki biashara za mabilioni ya shilingi ikiwa ni pamoja na Peacock Hotel atakuwa mzungumzaji rasmi
Tiketi zinapatikana (Steers & Zizzou Fashion) Kwa maelezo zaidi piga simu namba +255 713 292969 ama email info@easbgroup.com

Imedhaminiwa na NBC, Habari Leo, Commercial Bank of Africe, Ndovu Special Malt, TCCIA, Exim Bank, National Tour Operations Ltd, 24hrs Media, METL pamoja na Clouds FM


No comments:

Post a Comment