Wednesday, June 27, 2012

KOCHA WA KAMBI YA ILALA SUPER D AITWA KUWAFUNDA VIJANA WA IFAKARA

*Kocha wa mchezo wa ngumi kutoka Kambi ya Ilala, Rajab Mhamila, 'Super D' amepata mwaliko wa kwenda kufundisha mchezo wa masumbwi.* * * *Super D, amepata mwaliko huo kutoka kwa uongozi wa 'Kilombero Boxing Club' , Wilaya ya Kilombero, Ifakala, Mkoa wa Morogoro.* * * *Mwaliko huo ni kwa ajili ya kuwanoa Makocha na kuwapa ujuzi wa ziada mabondia chipukizi.*

No comments:

Post a Comment