Tuesday, June 26, 2012

TTCL YATOA MSADA WA VITU MBALIMBALI VYENYE THAMANI YA SH. MIL 9 KWA SKUL YA CHOKOCHO NA POLISI JAMII JONDENI— PEMBA

Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Chokocho Idrisa Daudi Ame (Kushoto) akipokea mfuko wa saruji kutoka kwa mkuu wa Kanda ya Zanzibar inayohusiha mikoa ya Lindi na Mtwara Bw. Hussein Nguvu kama ishara ya kupokea vifaa hivyo. Kulia ni meneja wa TTCL Pemba Bw. Alphonce Gakwavu. 

Mkuu wa Biashara kanda ya Zanzibar bw. Hussein Nguvu (Kulia) akimkabidhi sehemu ya Nondo Mwalimu mkuu wa Skuli ya Chokocho Idrisa Daudi Ame.

No comments:

Post a Comment