Tuesday, June 26, 2012

Kanisa la Safina Victory waadhimisha miaka 10 ya kanisa hilo

Waumini wa kanisa la Safina Victory lilopo Unga Limited jijini Arusha wakiwa wana furaia maazimisho ya miaka 10 ya kanisa hilo nchini ambalo limejikita zaidi kusaidia jamii wakiwemo watoto yatima na shule ya watoto wadogo.
 Wadau wa kanisa hilo akiwemo Askofu Yona Pendael wakiwa katika picha ya pamoja mapema leo jijini hapa

No comments:

Post a Comment