Thursday, June 28, 2012

KONYAGI yakabidhi kisima cha maji eneo la vikunai Mbagala jijini Dar

Meneja wa kinywaji cha Konyagi Martha Bangu na Mwnyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Vikunai Zena Khamisi wakifungua bomba la maji kuashiria uzinduzi wa mradi wa kisima cha maji ambacho kimechimbwa na kampuni hiyo Mbagala Vikunai,jijini Dar es Salaam.


 Meneja wa kinywaji cha Konyagi Martha Bangu akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wakazi wa Mtaa wa Vikunai kilichopo eneo la Mbagala jijini Dar es Salaam mara baada ya kuzindua kisima cha maji kilichochimbwa na kampuni hiyo.

No comments:

Post a Comment