Friday, June 29, 2012

ELIMU YA NMB FINANCIAL FITNESS YAENDELEA KUTOLEWA MIKOA YA PWANI, MOROGORO NA DAR ES SALAAM

Elimu ya NMB Financial Fitness yaendelea kutolewa kwenye shule mbalimbali Pwani, Morogoro na Dar es Salaam. Wanafunzi wengi wamepata kujua faida za kuwa uelewa wa matumizi mazuri ya fedha.
Picha hii inaonyesha wanafunzi wa Shule ya Msingi Kilindoni kisiwani Mafia wakijisomea kijarida cha NMB Financial Fitness huku Meneja wa NMB Mafia Mohamed Njalale akifuatilia kwa ukaribu
\

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mkoani iliyopo Kibaha mkoani Pwani wakisoma kijarida cha NMB Financial Fitness
Meneja wa NMB Mkuranga, Ndg. Wirra Wirra akikabidhi tuzo kwa mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mkuranga mkoani Pwani
Wanafunzi wa Kibonde Maji iliyopo Mbagala jijini Dar es Salaam wakijisomea kijarida cha NMB Financial Fitness wakati wa utambulisho wa mpango huo shuleni kwao

No comments:

Post a Comment