Wednesday, June 27, 2012

DIAMOND, MSANII MCHAPAKAZI NAMBA MOJA TANZANIA

Msanii Abdul Naseeb a.k.a DIAMOND ndio ameibuka kuwa msanii chapakazi katika kazi zake za mziki (hardworking). kupitia zoezi lililoanza kupitia facebook baada ya kuuliza fans mchapakazi ni nani, niliibuka na majina 10 yaliyokuwa na kura nyingi na baadae kuyaweka kupitia blog kwa siku sita mfululizo ukipiga kura yako baada ya kupiga kura zako.
Diamond amewaacha nyuma AY na FID Q kwa kupata kura 167, akifuatiwa na AY kura 137 na watatu akiwa ni FID Q na kura 91 huku ALIKIBA akishika nafasi na nne kwa kura 59 na watano ni LADY JAY DEE kwa kura 51..
(kwa Hisani ya djfetty.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment