Wednesday, June 27, 2012

URENO YATOLEWA KWA PENATI 4-2 NA SPAIN

Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Ureno Christiano Ronaldo, akisikitika baada ya timu yake kutolewa katika hatua ya nusu fainali na Spaii na mikwaju ya Penati 4-2 katika mchezo uliochezwa jana usiku, baada ya timu hizo kwenda sare ya bila kufungana hadi dakika za ziada.

No comments:

Post a Comment