Tuesday, June 26, 2012

Je ungependa kushinda tiketi mbili za VIP kuangalia fainali za Euro 2012?
Nenda kwenye Facebook page ya DStv Tanzania, bonyeza LIKE kisha tunga sentensi ya kuchekesha kwenye picha iliyowekwa kwa ajili hiyo.
Zile zitakazo chekesha zaidi ndio zitashinda. Wahi sasa, tiketi zipo 15 tu.
 

No comments:

Post a Comment