Monday, October 15, 2012

WADAU WA AIRTEL WAJITOKEZA KUKAGUA MAGARI YAO KWA AJILI YA USALAMA BARABARANI

 
 Askari wa usalama barabarani Meja Anthony Mjema akikagua gari la mfanyakazi wa Airtel bwana Herald Mwigune wakati Airtel ilipoendeleza juhudu zake za usalama barabarani kwa vitendo kwa kuwezesha magari ya wafanyakazi wake kukaguliwa na kupata sticker za usalama barabarani. Zoezi hilo limefanyika katika makao makuu ya Airtel Morocco.

 
Askari wa usalama barabarani Meja Anthony Mjema akikagua gari wakati Airtel ilipoendeleza juhudu zake za usalama barabarani kwa vitendo na kuwezesha magari ya wafanyakazi wake.

 

Askari wa usalama barabarani Meja Anthony Mjema akitoa maelezo na ufafanuzi kwa mfanyakazi wa Airtel bi Clara Kizinga juu ya vyombo vya moto wakati wa zoezi la ukaguzi wa magari lililofanyika katika makao makuu ya Airtel Morocco. Zoezi hilo ni mwendelezo wajuhudi za Airtel katika kuhakikisha usalama barabarani unazingatiwa.

Askari wa usalama barabarani Meja Anthony Mjema akiandika sticker za usalama barabarani mara baada ya kuyakagua magari wakati Airtel ilipoendeleza juhudu zake za usalama barabarani kwa vitendo na kuwezesha magari ya wafanyakazi wake kukaguliwa na kupata sticker za usalama barabarani. Zoezi hilo limefanyika katika makao makuu ya Airtel Morocco. Pichani ni wafanyakazi wa Airtel Lilian Kibiriti na Abdul Mbuyu.

No comments:

Post a Comment